Wednesday, 9 July 2014

MGANGA WA DIAMOND ATOA SABABU ZA DIAMOND KUKOSA TUZO, MKONO WA DVJ PENNY UNAHUSIKA


 Dvj Penny akiwa kwenye hisia kali za busu mwanana la Diamond
  Dokta Kamdege akiwa kazini na vifaa vyake vilivyojaa miti shamba tayari kuwasaidia wananchi wenye shida ya mafanikio pamoja na matatizo mengine.
 
 
Mganga maarufu aliyejichukulia sifa kibao nchini na nje ya nchi Dokta Kamdege ameibuka na kutaja sababu kadhaa za mwanamuziki Diamond aliyekuwa akiiwakilisha inchi kwenye tuzo za kimataifa za MTV na kuambulia patupu. 
Akiongea na gazeti hli juzi mganga huyo ambae kwa sasa anatikisa jiji la Dar kwa kujaza watu mbalimbali wenye shida mganga huyo alisema" Unajuwa kukosa tuzo kwa Diamond kuna mazingira mengi sana ambayo yako chini ya pazia na si vyema kuyaweka wazi yote ila tu mtu mwingine aliyefanikisha Diamond kukosa tuzo ni Dvj Penny ambae kipindi kirefu amekuwa katika majonzi akifanya dua maalum ili Diamond akwame mambo yake" Alisema Mganga huyo
 
Mganga huyo anaepatikana kwa simu namba 0763-146231 aliongeza kusema kuwa Penny hadi leo hayuko sawa kutokana na Wema kumpora bwanaake huyo lakini ili kupoza machungu inabidi nae amlilie muumba wake ili atoe majibu.
 
Dokta kamdege amekuwa akiwasaidia watu wengi kwa kuwasaidia kibiashara na kuwa na mafanikio huku akitumia dawa za miti shamba si vinginevyo kama wafanyavyo waganga wengine kwa sasa yupo Jijini Dar kwa kazi hiyo ya kuwasaidia watu na amefikia Kiwalani Jijini Dar.
 
na mdadisi

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA