ZIJUE FAIDA ZA UNYWAJI WA MZIWA KATIKA MAISHA YA KILASIKU...
Maziwa ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu,ukiangalia tangu utotoni watu wanakunywa maziwa bila kujua faida zake na yana umuhimu gani katika afya zao.Watoto wengi wanakunywa maziwa kwa wingi pindi wanapokua wadogo lakini kadri wanavyokua,unywaji wao wa maziwa unapungua na wengine huisha kabsa.Wakiamini kua hayana kazi tena katika miili yao,sikweli.Maziwa ndio chanzo kikubwa cha vitamini na virutubisho katika mwili na faida katika afya kama;.
KUNG'ARISHA NGOZI YA MWILI
AFYA YA MIFUPA
AFYA YA MENO
AFYA YA MISULI NA KUIPA NGUVU
HUPUNGUZA UZITO
HUPUNGUZA MAWAZO
KUUPA MWILI AFYA
HUONDOA SUMU MBALIMBALI KATIKA MWILI.
Ni vizuri zaidi ukatumia maziwa safi na salama ambayo yamekamuliwa,yamechujwa na yamechemshwa vizuri katika vyombo vyakuaminika kuliko kutumia maziwa yenye kemikali ambayo yanaweza kuatarisha afya yako.

0 comments:
Post a Comment