Wednesday 23 July 2014

ZIJUE *SIKU HATARI ZA KUSHIKA MIMBA*




Ni muhimu cna mwanamke kujua mzunguko wake wa Hedhi, mizunguko  ipo katika makundi matatu ambayo ni: Mzunguko mfupi siku 25, mzunguko wa kawaida siku 28, na mzunguko mrefu siku 30-35.

 Wanawake wengu mzunguko wao hua ni wa kawaida yaani siku 28. ili kutambua mzunguko wako ni wa siku ngapi unatakiwa kuhesabu siku ya kwnz ya kuona damu ya hedhi hadi siku ya kwanza ya kuona damu ya hedhi ya mwezi unaofuata, kwa mtu mwenye mzunguko wa siku 28 siku zake za  kuweza kushika mimba ni siku ya 14,
 hivyo kuanzia siku ya 12 hadi ya 16 akifanya mapenzi bila kinga anaweza kushika mimba. Unaweza kujiuliza km siku ya Hatari ni ya 14 sasa kwa nini akifanya mapenzi siku ya 12 anaweza kupata mimba? Hii ni kwasbb mbegu za kiume (Sperm) zinaweza kudumu kwa masaa 24 hadi 48 baada ya kujamiiana hivyo km mwanamke atafanya mapenzi trh 12 na yai likatokea trh 14 bado litakuta zile mbegu zikiwa hai na hivyo zitatunga mimba. Share na washkaji wajanja   Upate vitu km hv vya kijanja.

**KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA NA LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK **

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA