Saturday 9 August 2014

KWELI BONGO KWA WAREMBO NI SHIDA !! ANGALIA PICHA YA BIRTHDAY YA NANCY SUMARI,

Hapa ni siku ya birthday ya mlimbwende Nancy akiwa na walimbwende wenzake Faraja Nyalandu na K-Lynn
Maisha bongo ni tambalale warembo wanye maisha ya mboga 7 wakipata upepo safi na jua la afya wakiwa kwenye boat.
K-Lynn akijiachia
Fausta, Faraja na K Lynn wakijiachia.
Fausta, Faraja, Sophie, Nancy, K Lynn & Nasreen
K Lynn na Fausta katika pose
Gorgeous K Lynn and Nasreen wote ni Ma Miss Tanzania waliopita.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA