BIG BROTHER AFRICA 2014: MSHIRIKI WA PILI WA TANZANIA ATAJWA
07:00 |
M-Net wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.
Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.
Bofya HAPA kuangalia akijieleza.

Related Posts:
AFRIKA YA KATI MAMBO BADO! UCHAGUZI MKUU wagombea wa uraisi ishirini kati ya thelathini katika jamhuri ya afrika ya kati wametoa wito wa kura zilizopigwa kufutwa kwa … Read More
KENYA KUDHIBITI VIPINDI NA MATANGAZO Mwongozo huo mpya pia unapiga marufuku wahubiri kutafuta wafuasi kupitia vipindi redioni na runingani Mamlaka ya mawasiliano n… Read More
SOMALIA YAPIGA MARUFUKU KRISMASI Somalia yapiga marufuku kuadhimisha Krismasi Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za kuadhimisha sikukuu ya Krismasi katika mji mkuu wa … Read More
AL-SHABAB WAKO 'HURU' KUSHIRIKI SOKA SOMALIA Wapiganaji wa Alshabaab Mkuu wa shirikisho la soka nchini Somalia amesema kuwa kundi la wapiganaji wa al-Shabab liko huru ku… Read More
TB JOSHUA’S ALARMING 2016 PREDICTIONS Controversial Nigerian ‘Prophet’ T.B. Joshua has released a list of bleak predictions for the New Year 2016, particularly directed towards th… Read More