Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya mdau wa FUNGUKA LIVE BLOG
nasi tunamtakia heri na awe na maisha marefu zaidi yenye amani na furaha.
HAPPY BIRTHDAY REUBEN KOIKAI
|
REUBEN AKIWA NA WADAU WENGINE WA FUNGUKA LIVE BLOG |
JE UNATAKA KUMPONGEZA NDUGU,RAFIKI AMA MPENZI WAKO
WASILIANA NASI 0652571233
0 comments:
Post a Comment