Sunday 21 September 2014

LIVERPOOL HOI KWA WEST HAM YAPIGWA NYUNDO 3


IMG_7374.PNG
Baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Manchester City, na Aston Villa – klabu ya Liverpool leo imejitupa uwanjani kucheza dhidi ya West Ham United katika dimba la Upton Park.Liverpool ambao wamefanikiwa kushinda mechi moja tu dhidi ya Tottenham Hotspur leo wamepokea kipigo kingine kutoka vijana wa Sam Allardyce.

Magoli ya Winstoin Reid dakika ya 2, Diafro Sakho dakika 7 baadae, kabla ya Morgan Amalfitano kushindilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Liverpool.
Raheem Sterling alifunga goli la Liverpool la kufutia machozi..
Timu zilipangwa kama ifuatavyo:
West Ham: Adrian 6.5, Demel 6.5 (Jenkinson 61, 6), Tomkins 7, Reid 7.5, Cresswell 7, Noble 7.5, Kouyate 8, Song 7.5 (Amalfitano 69, 6.5), Sakho 7, Downing 7, Valencia 7 (Collins 76).
Subs Not Used: Zarate, Vaz Te, Jaaskelainen, Cole.
Booked: Reid, Adrian, Kouyate, Jenkinson.
Goals: Reid 2, Sakho 7, Amalfitano 88.
Liverpool: Mignolet 5, Manquillo 4 (Sakho 22, 5), Skrtel 5, Lovren 5, Moreno 5.5, Gerrard 5, Lucas 5 (Lallana 46, 7), Henderson 6, Sterling 7, Borini 5.5 (Lambert 75, 5), Balotelli 6.
Subs Not Used: Brad Jones, Jose Enrique, Toure, Markovic.
Booked: Balotelli.
Goals: Sterling 26.
Att: 34, 977

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA