LIVERPOOL WABWNA MBAVU NA EVERTON 22:19 | Liverpool ilijipatia bao la kuongoza mnamo dakika ya 56 lilowekwa kambani na nahodha Steven Gerrad ila Sherehe hyo ilitibuliwa katika dakika za lala salam kwa shutin la umbali wa mita 40 na kiungo Jagielka hivyo ngoma kuisha kwa suluhu ya moja moja Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg SPORT MAJUU Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook