Monday, 29 September 2014

UWIII::KUTANA NA MWANAMKE MWENYE KIUNO KIDOGO KULIKO WOTE DUNIANI:CHEKI PICHA HAPA



Mwanzoni nilikuwa natia shaka juu ya hili mpaka nilipokuja kuona kuwa naye yumo miongoni mwa watu kwenye kitabu maarufu cha kumbukumbu za Guinness world.

Cathie Jung ana miaka 77 na ndiye mwanamke mwenye kiuno chembamba zaidi Duniani. Hakika hii inashangaza kimtindo.








lla unadhani hii ni hali ya kawaidia au ni ugonjwa...?

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA