BAKWATA YATANGAZA SIKUKUU YA IDD EL HAJI

Akizungumza na TBC, Kaimu Mufti wa Tanzania ambaye pia ni Shehe Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ismail Habib Mwakusanya amsesema swala ya sikukuu hiyo itaswaliwa Kitaifa katika msikiti wa Al Farouq uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na Baraza la Idd.
Mufti huyo amewataka Mashehe wa Wilaya na Mikoa kuwatangazia taarifa hii waumini katika misikiti yao.
-matukiotz