Friday 5 November 2021

JIFUNZE HAPA::MAGONJWA 24 YANAYOAMINIKA KUTIBIWA NA KITUNGUU SWAUM,




1.Kiua sumu mwilini      2.Kisafisha tumbo       3. Kiyeyusha mafuta(cholestro) 
4. Kusafisha njia ya mkojo       5. Kutibu amoeba            6. Kuzuia kuhara damu(Dysentery) 
7. Gesi tumboni       8.Msokoto wa tumbo          9.Typhoid        10.Mabaka kwenye ngozi 
11. Mafua           12.Kifua kikuu cha mapafu    13.Kipindupindu          14.Kutoa minyoo 15.Upele         16.Kuvunjavunja mawe katika figo      17.Mba kichwani      18.Kuupa nguvu ubongo      19.Kuzuia meno kung'ooka na kutuliza maumivu         20.Nguvu za kiume 21.Maumivu ya kichwa   22. Kizunguzungu/kisunzi      23. Shinikizo la damu   24. Saratani (cancer) Pia jitahidi kula japo punje moja ya Kitungu swaumu kwa siku, hukukinga na magonjwa mengi. 

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA