Tuesday 21 October 2014

MSANII MWINGINE AFARIKI DUNIA NI MTOTO WA MZEE MAGARI

Wakati watu wakiwa kwenye simanzi na majonzi kwenye mziki wa bongo fleva nako kwenye bongo move mambo sio mazuri kwani muda si mrefu update nakupa kutoka morogoro binti wa muigizaji maarufu mzee magari aliyekuwa akifanya kazi na kina mzee majuto na wengine na mchekeshaji aliyepata umaarufu gafla SHERY MAGARI amefariki dunia katika hospitali ya rufaa ya morogoro mazishi na taratibu tutakuupdate hapa hapa .Taarifa na KAFTANY AFISA HABAR TDFAA TAIFA
-THADE EXPENSIVE

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA