19:49 |
Alicia Keys Mwenye Miaka (33) Mama Wa Mtoto Mmoja Kwa Sasa Ana Ujauzito Wa Miezi 7 Alifanya Balaa La Kuimba Kwa Sauti Ya Juu Isivyo Kawaida Katika Hafla Ya MTV-EMAs Alicia Alistaajabisha Mashabiki Kwa Uwezo Wake Wa Kumiliki Jukwaa Kwa Kuimba Na Kucheza .
-mambo ya walimwengu