ANGALIA HALI ILIVYOKUWA WAKATI WABUNGE WAKIPIMWA AFYA ZAO MKOANI DODOMA
20:26 |
Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi aongoza zoezi la kupima afya za Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa jana.Upimaji wa afya za Wabunge umefanywa na Madaktari wa Aga Khan kutoka Morogoro,Dar. na Dodoma.
Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi (kulia) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Agha Khan,Sisawo Konteh wakati wa zoezi la upimaji wa Afya kwa Waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.Katikani ni Mmoja wa Maafisa waandamizi wa Hospitali ya Agha Khan.
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini,Mchungaji Luckson Mwanjale akimsikiliza kwa Makini Mtaalam wa Maswala ya Afya kutoka Hospitali ya Agha Khan wakati wa zoezi la kupima Afya kwa waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.
Mh. Zakhia Meghji akipewa maelezo na Daktari Raheel Kanji wa Hospitali ya Agha Khan
Mh. Mbunge akifanyiwa vipimo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akijiandaa kupima uzito wake.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma akipima akichukuliwa vipimo na Daktari kutoka Hospitali ya Agha Khan.
Ushauri.
Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi akiongea na wanahabari juu ya zoezi la upimaji Afya kwa Waheshimiwa Wabunge aliloliongoza.
Waheshimiwa Wabunge wakiendelea kumiminika kwenye Ukumbi wa Msekwa,Bungeni Mjini Dodoma ili kushiriki zoezi la upimaji Afya.

Sehemu ya Waandishi wa Habari wakifatilia kwa makini zoezi hilo.Picha zote na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii,Kanda ya Kati.
-EDDY
Related Posts:
RAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA BWANA G. BYAKANWA KUWA MKUU WA WILAYA YA HAI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Gelasius Gaspar Byakanwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kil… Read More
RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ANNE KILANGO MALECELA KUANZIA LEO Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dr.John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango Malecela kuanzi… Read More
WATUHUMIWA DAWA ZA KULEVYA WAZIDI KUBANWA WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Kassim Majaliwa amemtaka Mkuu wa Magereza mkoa wa Lindi, kuhakikisha hakuna m… Read More
JESHI LA MAGEREZA NA SUMA – JKT WAKABIDHIWA JUKUMU LA KUTENGENEZA MADAWATI YENYE THAMANI YA BILIONI 6, JIJINI DAR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha mfano wa hundi aliyokabidhiwa na Ofisi ya Bunge leo Ikulu, … Read More
JWTZ YAKANA UZUSHI KUHUSU UNYANYASAJI HUKO DR-CONGO Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange … Read More