HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOPOKEWA LEO ALIPOTUA NCHINI AKITOKEA AFRIKA KUSINI:CHEKI PICHA
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.