Wednesday 31 December 2014

HIZI NDIO POST KUMI KALI ZA MWAKA 2014 CHEKI HAPA..HUTAAMINI UTAKACHOKIONA


Katika mwaka huu unaoelekea ukingoni ,FUNGUKA LIVE BLOG inakupa kumbu kumbu ya post zetu kali zilizo shika chati ..ama kweli utajionea mwenyewe..

-1
MAJANGA::MWANAFUNZI APEWA MIMBA NA MZAZI WAKE
Hii inasikitisha ni kuhusu mwanafunzi aliyepewa mmba na Mzazi wake.
BOFYA HAPA KUSOMA KISA HIKI
>>
MAJANGA::MWANAFUNZI APEWA MIMBA NA MZAZI WAKE<<<



-2
Diamond Platinum naye ameingia katika hot post za FUNGUKA LIVE BLOG 2014
safari hii ni kutokana na maajabu aliyoyafanya katika TUZO ZA KILI.

Bofya hapa kuona ilivyokuwa
>>DIAMOND AKIMBIZA KWA KUIBUKA NA TUZO SABA KTMA 2014<
-3
Kisa cha dada huyu kumeza simu kiliibua hisia za kipekee kabisa kama ulikikosa basi waweza kukisoma hapa
Screen Shot 2014-08-01 at 8.33.09 AM
Bofya hapa kuona ilivyokuwa

-4
Mapenzi nayo yalikuwa na nafasi yake katika Blog yetu na hii ndiyo post iliyopendwa sana na kupata wasoamaji na maoni mengi,kama uliikosa waweza kuisoma tena



Bofya hapa kuona ilivyokuwa

>>HIZI NDIO SIFA 10 ZA MUHIMU ZA MPENZI MWENYE UPENDO WA DHATI<<<

-5
Katika burudani mwanamuziki Rihana alijikuta katika wakati mgumu dhidi ya mtandao wa kijamii "Instagram" kuhusiana na  picha za Uchi...




Bofya hapa kuona ilivyokuwa


-6
Afya ya uzazi ni moja kati ya vitu vyenye mguso wa kipekee maishani mwetu,post hii kuhusu dalili za awali za kutopata mtoto ilipokewa vyema..sii vibaya ukijikumbusha kwani elimu hii ni muhimu sana.




Bofya hapa kuona ilivyokuwa

-7
Ikiwa hili ni tukio la kihistoria kutokea nchini Tanzania,Mchakato wa Uundwaji wa katiba mpya ulifikia tamati licha ya kugubikwa na changamoto mbali mbali na hatimaye katiba iliyopendekezwa ikakabidhiwa kwa Mhe.Rais.

-8
Katika michezo licha ya matukio mengi kutokea hili la Patrick Phiri kufungashiwa virago siku ya 30/12/2014,naweza kusema ndio limefunga mwaka wa kispoti kwa Tanzania.
SIMBA WAMTIMUA KOCHA WAKE PATRICK PHIRI


Bofya hapa kuona ilivyokuwa

-9
Kuhusu aliye Badilika na kuwa ALBINO baada ya kumeza dawa za malaria..
Japo ni vigumu kuamini lakini tukio hili limevuta hisia za wasomaji wengi wa FUNGUKA LIVE BLOG kama ulilikosa hii ni fursa yako kulitazama.




Bofya hapa kuona ilivyokuwa


-10
Hili limekuwa tukio la mwaka kwani haijapoteza utamu wake
SIMBA KUMTUNZA MTOTO WA NYANI..tafadhali itazame tena ..









HAYO YALIKUWA NI BAADHI TU YA MENGI TULIYOKULETEA KWA MWAKA 2014.
NAKUSIHI KAMA BADO HUJALIKE PAGE YETU FACEBOOK TAFADHALI FANYA HIVYO SASA KWA >>KUBOFYA HAPA<< ILI UUNGANE NASI MOJA KWA MOJA.

NIKUTAKIE HERI NA PAOKEZI MEMA YA MWAKA MPYA....KWA HABARI ZA UHAKIKA NA BURUDANI NA ENDELEA KUTEMBELEA..
WWW.FUNGUKALIVE.COM ,MSINGI WA HABARI NA BURUDANI


BOFYA HAPA KUTUTUMIA MAONI YAKO KWANI NI MUHIMU SANA KWETU.
FUNGUKA LIVE

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA