Friday 9 January 2015

HAKIKA DIAMOND PLUTNUMZ NA P SQUARE NDIO WALIO FANIKIWA KUWATEKA HISIA MASHABIKI TUZO ZA GLOCAFAWARDS‬ CHEKI PICHA HAPA



Wasanii wa Africa walipata nafasi yakutoa burudani katika tuzo hizo za GloCafAwards‬  kama Uhuru Mr lavour Uhuru ,soweto gospel choir na wengineo Lakini Watu Waliguswa na Nyimbo ya diamond mdogo My Number one remix ambayo Plutnmz alionyesha uwezo wakuimba ubeti wa Davido Wote Bila yakufwata Cd Back Play nakufanya vizuri
P square walifanikiwa kuwa kosha masbabiki baada ya kuimba nyimbo mbili Test MOney Na Ejajo 








TUTUMIE PICHA NA HABARI KUPITIA 0652-571233

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA