Friday 2 January 2015

PICHA ZA AWALI KUHUSU PANYA ROAD WALIVYOLETA TAFRANI JIJINI DAR ES SALAAM

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa kundi la vijana la kihalifu Lijulikanalo kama Panya Rodi limevamia maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es salaam ikiwemo Sinza na maeneo ya Kinondoni wakipora Mali na kuzua Tafrani

#Picha zaidi na taarifa zitakujia muda mfupi badae.#

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA