Thursday 29 January 2015

SIMBA YACHAPWA NA MBEYA CITY TAIFA


Simba SC wakimenyana na Mbeya City katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. (Picha na GPL)


SIMBA SC imeendelea kupoteza michezo yake hasa ya nyumbani baada ya leo kukubali tena kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City.
Mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) imepigwa muda mfupi uliopita katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Simba hivi karibuni ilipoteza mechi yake ya nyumbani baada ya kupigwa na Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar kabla ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam FC majuzi.
-Eddy

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA