Tuesday 10 March 2015

AL-SHABAAB WATOA VIDEO YA MASHAMBULIZI YA MPEKETONI NA POROMOKO


Al-Shabaab wametoa video ya kutisha inayoonyesha mashambulio waliyoyafanya kwenye vijiji vya Mpeketoni na Poromoko kaunti ya Lamu nchini Kenya mwezi Juni 16 na 17 mwaka jana, huku kukiwa na uthibitisho mwanamke ajulikanae kama mjane mweupe alihusika katika mauaji hayo.

Wachambuzi wa masuala ya usalama wamesema video hiyo ni mikakati ya kundi hilo lenye ushirikiano na Al-Qaida kuwalenga wakazi wa Afrika Mashariki wanaoongea lugha za Kiswahili na Kingereza ili kuweza kuwashawishi kujiunga nao, kwa kigezo cha kupigania uislam.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA