Friday 27 March 2015

CHEKI MR & MISS TALENT SHOW MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY INAVYOBAMBA ###SEHEMU YA KWANZA

Muda huu katika viwanja vya KILI HOME Bar & Restaurant ni lile shindano la MR & MISS TALENT SHOW MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY ndio linafana.
Serengeti Breweries 

wadau mbali mbali wameshafika wakiwa tayari kujionea yale yote ambayo yameandaliwa chini ya udhamini wa Akiba Comercial Bank,,Serengeti Breweries kwa brand ya ukweli SMINORF.
Baadhi ya wadau waliopo ndani ya tukio
wachekeshaji waliotumbuiza muda mfupi uliopita

hawa nao hawakupitwa



MATUKIO ZAIDI YATAKUJIA KADRI YATAKAVYOTOKEA

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA