Tuesday 31 March 2015

MWANAMUZIKI KEISHA APATA AJALI



Msanii wa Bongo Fleva,Khadija Shabani’Keisha’ amenusurika kufo baada ya kupata ajali maeneo ya Maktaba,Posta jijini Dar.
Keisha alisema kuwa alikuwa akitoka chuoni CBE na kwamba alikuwa akimfuata mumewe alipofika maeneo hayo ndipo lilipotokea gari na kumuovateki na kuligonga gari lake.
Aidha alisema kuwa alisikia maumivu na alipokwenda hospitali kufanyiwa vipimo vilionyesha hakupata majeraha kwa ndani. 
"Nashukuru Mungu nilipimwa hospitali vipimo vilionyesha sikupata madhara yoyote kwa ndani kwani nilikuwa na wasiwasi labda niliumia kwa ndani," alisema Keisha
KAMA BADO HUJADOWNLOAD ANDROID APPLICATION YA BLOG HII BOFYA HAPA UWEZE KUPATA HABARI ZETU MOJA KWA MOJA   

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA