Sunday, 19 April 2015

SANCHEZ ARSENAL IKITINGA FAINALI FA CUP KWA KUITUNGUA READING 2-1


Arsenal imeamsha matumaini ya kubeba tena Kombe la FA baada ya kufanikiwa kutinga fainali.
Imetinga fainali baada ya kuichapa Reading kwa mabao 2-1, yote mawili yakifungwa na Alexis Sanchez. Hata hivyo haikuwa kazi lahisi kwa kuwa Arsenal ililazimika kusubiri hadi dakika 30 za nyongeza kupata ushindi huo.

Reading: Federici, Gunter, Hector, Pearce, Obita, McCleary, Williams, Chalobah (Cox, 106), Robson-Kanu (Karacan, 90), Mackie, Pogrebnyak (Yakubu, 111). 
Subs not used: Stephen Kelly, Norwood, Yakubu, Andersen, Cooper.
Booked: Chalobah
Goal: McCleary, 54 
Arsenal: Szczesny, Debuchy, Mertesacker (Gabriel, 63), Koscielny, Gibbs, Coquelin (Walcott, 101), Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Welbeck (Giroud, 72). 
Subs not used: Wilshere, Ospina, Monreal, Flamini.
Goals: Sanchez 39, 106



















0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA