Thursday, 28 May 2015

MAKONGORO NYERERE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KUPITIA CCM

Hiyo hapo juu ni picha katika account ya facebook ya Ndgu Makongoro Nyerere alipoweka wazi adhma yake ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu kupitia Chama cha Mapinduzi.

Ninanukuu maneno hayo.."Ndugu zangu watanzania, taifa letu lipo kwenye mchakato wa uchaguzi, mchakato huu ni msingi mkubwa wa maamzi kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu. Tunaamua hatma ya taifa letu kwa miaka mitano ijayo. Ni kwa sababu hii mimi Charles Makongoro Julius Nyerere nawakaribisha rasmi kijijini kwetu Mwitongo Butiama, Mara.tarehe 1/6/2015 kuwaelezeni nia yangu ya kuomba ridhaa ya wanaccm nafasi ya kupeperusha bendera ya ccm kuliongoza taifa hili kwa nafasi ya urais."
mwisho wa kunukuu..

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA