BREAKING NEWS!!! SHEIKH MKUU WA TANZANIA ISSA SHABANI SIMBA AMEFARIKI DUNIA
Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Issa Shabani Simba enzi za uhai wake |
Innalilah wainailah Rajiun
Habari zilizopatikana ni kwamba Sheikh Mkuu wa Tanzania
Issa Shaabani bin Simba amefariki Dunia.
Taarifa zinasema Mufti Simba amefariki asubuhi hii katika Hospitali ya TMJ ya jijini Dar es Salaam.
Issa Shaabani bin Simba amefariki Dunia.
Taarifa zinasema Mufti Simba amefariki asubuhi hii katika Hospitali ya TMJ ya jijini Dar es Salaam.
Mufti amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya sukari kwa muda mrefu.
Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na alifanye kaburi lake kuwa moja ya Mabustani ya peponi.
Taarifa zaidi endelea kufuatilia blogu yetu.
(Source Tanzania diplomats)
0 comments:
Post a Comment