Pichani ni baadhi ya vijana waliojitokeza asubuhi hii katika kituo cha uandikishaji vitambukisho vya kupiga kura (BVR) katika kituo cha chuo cha VETA Moshi mjini.
Wakizungumza na mtandao huu vijana hao wameeleza kuwa kipindi hiki wamehamasika kwani wametambua ni haki yao ya msingi kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
|
Baadhi ya waliojitokeza katika zoezi la uandikishaji |
|
Kijana mmoja akiwa katika hatua ya kupigwa picha ili kupata kitambulisho |
|
Vijana wamehamasika na wapo tayari kujiandikisha |
Picha na Dickson Mulashani
0 comments:
Post a Comment