Sunday 12 July 2015

TANZIA!!!!! MZEE OJWANG HATUNAYE TENA

Mzee Ojwang enzi za uhai wake
Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa  Muigizaji maarufu wa kipindi cha runinga cha "Vitimbi" Benson Wanjau aka "Mzee Ojwang"
ameaga dunia.
Mzee Ojwang ameaga dunia muda mchache uliopita katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta mjini Nairobi Kenya kufuatia maambukizi ya pneumonia.
Image result for historia ya mzee ojwang
Pichani Mzee Ojwang akiwa na mwigizaji mwenza maarufu kama Mama Kayai

R.I.P 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA