Monday 13 July 2015

PRISCUS TARIMO AJITOSA KINYANG’ANYIRO CHA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Priscus Tarimo akizungumza wakati wa mkutano wake na wakazi wa kata ya Kilimanjaro, katika Manispaa ya Moshi akieleza mambo mbalimbali aliyotekeleza wakati wa kipindi chake cha Udiwani na kutumia nafasi hiyo kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini.
Baadhi ya wakazi wa kata ya Kilimanjaro wakifuatilia hotuba ya Diwani aliyemaliza muda wake wa kata ya Kilimanjaro,Priscus Tarimo wakati wa mkutano wake wa tathmni ulioenda Sanjari na kutangaza nia ya kuwania Ubunge.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Priscus Tarimo akiwa na mkewe Evelyne Gaudance wakionesha tabasamu wakati wakisikiliza maneno ya kada wa Chama hicho Mzee Mgonja

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA