Saturday 4 July 2015

WABUNGE WENGINE 36 NAO WAZUIWA KUINGIA BUNGENI KWA SIKU TANO KUANZIA LEO JULAI 4,2015


Kumekuwa na story mfululizo toka ndani ya Kikao cha Bunge, Dodoma kwamuda wa siku tatu mfululizo zimetokea vurugu, Kikao kimeahirishwa kwa siku mbili mfululizo.

Alhamisi July 02 2015 Mbunge John Mnyika aliomba mwongozo kuomba Bunge lisiendelee kwa vile ishu ya kujadili Miswada mitatu kwa siku moja ilikuwa inakiuka Kanuni za Bunge, ukatokea mvutano na baadae Spika AnneMakinda akaahirisha Bunge.

Ijumaa July 03 2015 hali ikawa hivyohivyo tena, wakati Waziri George Simbachawene anasoma Muswada, ikatokea mvutano mwingine, zikaanzishwa kelele Bunge likaahirisha tena.. Kikao cha Jioni Spika Anne Makinda akarudi na list ya majina ya Wabunge ambao wamesimamishwa Bungeni kutokanana maamuzi ya Kamati ya Maadili ya Bunge.

Leo July 04 2015 Kikao kimeanza tena saa tatu asubuhi, Mbunge Ezekiel Wenjeakaomba Spika atoe ufafanuzi wa kwanini Mbunge Silinde hayuko kwenye list ya waliotajwa kusimamishwa lakini Askari wa Bunge wamemzuia asiingie kwenye Kikao?

Majibu ya Spika hayakuwaridhisha baadhi ya Wabunge, zikaanza tena kelele… Spika akataja list ya Wabunge wengine ambao wanasimamishwa kuhudhuria Vikao vya Bunge kwasiku tano kila mmoja.

Ezekiel Wenje

Mussa Kombo

Masoud Abdallah Salim

Rebecca Ngodo

Sabrina Sungura

Khatib Said Haji

Dr. Anthony Mbassa

Maulidah Anna Valerian Komu

Kulikoyela Kahigi

Cecilia Pareso 

Joyce Mukya

Mariam Msabaha 

Grace Kiwelu

Israel Natse 

Mustapha Akonaay

Konchesta Rwamlaza

Suleiman Bungura 

Rashid Ali Abdallah 

Ali Hamad

Riziki Juma

Rukia Kassim Ahmed

Azza Hamad

Khatibu Said Haji

Kombo Khamis Kombo

Ali Khamis Seif

Haroub Mohammed Shamisi 

Kuruthum Jumanne

Mchuchuli

Amina Mwidau

Mkiwa Kimwanga

Salum Baruhani 

Marry Stellah Malaki

Rashid Ally Omary

Mwanamrisho Abama


Lucy Owenya

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA