Tuesday 4 August 2015

Diamond Platnumz ashinda tuzo mbili katika tuzo hizi kubwa za Nigeria

Diamond Platnumz anazidi kuupaisha muziki wake baada ya kushinda tuzo mbili kubwa za Nigeria zijulikanazo kama NollyWood & African People Choice Awards.
11363819_947417188652129_1926670237_n
Diamond Platnumz ameshinda katika Kipengele cha FAVOURITE SONG OF THE YEAR (Nana) pamoja na FAVOURITE ARTIST OF THE YEAR.
Katika Mtandao wa Instagram Diamond Platnumz ameandika “Thanks alot to my all Fans around the World, for your unconditional love and Support that you been Giving me… i can’t even explain how grateful i am… two awards on NollyWood & African People Choice Awards @Africannafca
FAVOURITE SONG OF THE YEAR (Nana)
FAVOURITE ARTIST OF THE YEAR
thanks alot @Africannafca ��
(Naomba nitumie Muda huu kuwashkuru Mashabiki zangu wote kwa Mapenzi na Sapoti yenu ya Dhati mnayoendelea kunipa…ningependa niwataarifu kuwa kijana wenu mmeniwezesha kushinda tunzo mbili ambazo ni MSANII ANAEPENDWA AFRICA na NYIMBO INAYOPENDWA AFRICA (#NaNa ) kwenye Tunzo za NollyWood & African people Choice Awards @Africannafca zitazotolewa tareh 12 /09 /2015 ��

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA