MESSI MWANASOKA BORA WA ULAYA, AWABWAGA RONALDO, SUAREZ
Lionel Messi amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ulaya na kuwashinda Cristiano Ronaldo na Luis Suarez aliongia nao fainali.
Messi ameshinda tuzo hiyo leo mjini Monaco nchini Ufaransa wakati wa utoaji wa tuzo hizo pamoja na upangaji wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Waandishi 54 walimpigia kura Messi hadi kuibuka na ushindi. Wakati Ronaldo anashika nafasi ya pili na Suarez ya tatu, wengine katika 10 bora ni kama wafuata.
4 Gianluigi Buffon (Italy – Juventus) 24 points
5 Neymar (Brazil – Barcelona) 23
6 Eden Hazard (Belgium – Chelsea) 21
7 Andrea Pirlo (Italy – Juventus) 12
8 Arturo Vidal (Chile – Juventus, now Bayern München) 11
9 Carlos Tévez (Argentina – Juventus, now Boca Juniors) 8
10 Paul Pogba (France – Juventus) 5
5 Neymar (Brazil – Barcelona) 23
6 Eden Hazard (Belgium – Chelsea) 21
7 Andrea Pirlo (Italy – Juventus) 12
8 Arturo Vidal (Chile – Juventus, now Bayern München) 11
9 Carlos Tévez (Argentina – Juventus, now Boca Juniors) 8
10 Paul Pogba (France – Juventus) 5
0 comments:
Post a Comment