SUAREZ AIBEBA BARCELONA ,MESSI AKIKOSA PENATI
August 23 FC Barcelona imerudi kucheza mechi ya Ligi Kuu na Athletic Bilbao ila imefuta uteja wa kukosa ubingwa wa Super Cup ila katika mchezo wa Ligi Athletic Bilbao imekubali kipigo cha goli 1-0, goli pekee la dakika ya 54 kutoka kwa Luis Suarezliliwafanya FC Barcelona kuondoka na point 3 muhimu.
0 comments:
Post a Comment