16:14 |
|

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni mjini Misungwi, Mwanza jana, ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Dk Magufuli akiingia kwenye gari baada ya kuhutubia akiwa juu ya gari mjini Ngudu, Kwimba leo.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia huku akiwa amesimama juu ya gari katika mkutano wa kampeni mjini Ngudu , wilayani Kwimba,, Mwanza, ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
Dk Magufuli akiwahutubia wananchi waliouzuia msafara wake eneo la Mabatini, jijini Mwanza asubuhi.
Msfara wa Dk Magufuli ukiingia eneo la Buzuruga jijini Mwanza ukielekea Wilayani Magu kuendelea na kampeni.
0 comments:
Post a Comment