Wednesday 7 October 2015

LOWASSA AHANI MSIBA WA MZEE KISUMO, KIJIJINI KWAKE USANGI, MKOANI KILIMANJARO

Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisaini kitabu cha maombolezo, wakati alipofika kuhani msiba wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015.Picha na Othman Michuzi.
Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mh. Edward Lowassa akiweka shada la maua katika kaburi la aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA