MAGUFULI RAIS MTEULE WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Dr. John Pombe Magufuli ametangazwa Rasmi na Jaji Luvuba kuwa ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
FUNGUKA LIVE.COM inachukua fursa hii kumpongeza kwa ushindi huo na pia kuwataka watanzania kugeukia shughuli za kimaendeleo na kuziweka pembeni tofauti za kiitikadi.
0 comments:
Post a Comment