WATOTO WA PELE WOTE WACHEKA NA NYAVU, ANDRE AIPA USHINDI SWANSEA IKIIMALIZA ASTON VILLA 2-1
Jordan Ayew akishangilia baada ya kuipa Aston Villa bao |
Andre Ayew akishangilia mara baada ya kufunga bao la ushindi |
Andre Ayew amefunga bao muhimu lililoipa ushindi Swansea dhidi ya Aston Villa katika Ligi Kuu England.
Ushindi wa 2-1 kwa Swansea umekuwa muhimu sana, lakini Jordan Ayew, mdogo wake Andre, wote wawili watoto wa gwiji la soka la Ghana, Abeid Ayew naye amefunga bao la Aston Villa.
Subs not used: Bunn (Gk), Westwood, Amavi, Sanchez, Crespo
Booked: Richards, Richardson
Goal: J. Ayew 62
SWANSEA CITY (4-2-3-1): Fabianski 6; Naughton 6.5, Williams 6.5, Fernandez 5.5, Taylor 6; Sung-Yeung 6, Shelvey 6.5 (Cork 85); A. Ayew 7.5, Sigurdsson 6.5, Montero 6 (Barrow 76); Gomis 6 (Eder 90)
Subs not used: Nordfeldt (Gk), Britton, Rangel, Bartley
Booked: Naughton, Williams, Sigurdsson
Goals: Sigurdsson 68, A. Ayew 87
Referee: Neil Swarbrick (Lancashire)
Star man: Andre Ayew (Swansea)
Crowd: 33,324
0 comments:
Post a Comment