MAELFU YA WAUMINI WA KIKRISTO WAHUDHURIA MISA INAYOENDESHWA NA PAPA FRANCIS MUDA HUU KATIKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU CHA NAIROBI
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani yupo nchini Kenya katika ziara ya siku tatu aliyoainza jana, na akikamilisha ziara hiyo ataelekea nchini Uganda na baadaye Jumuhuri ya Afrika ya Kati.
Mamia ya wakenya wakiwa katika viwanja vya Central Park wakifuatilia kupitia televisheni kubwa uwanjani hapo misa inayoendelea katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Nairobi, misa inayoendeshwa na Papa Francis asubuhi hii.
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiwa na mkewe katika misa inayoendelea sasa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Nairobi
Muongozaji wa kwaya akiwajibika
0 comments:
Post a Comment