18:10 |
|
Meneja wa klabu ya Chelsea ya Uingereza amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kuandikisha msururu wa matokeo mabaya.
Bodi ya klabu hiyo ilikutana jana kujadili hatima ya Mourinho chini ya mmiliki wa klabu hiyo, Mrusi Roman Abramovich.
Mreno huyo mwenye umri wa miaka 52 amekuwa Chelsea kwa kipindi cha pili, kilichoanza Juni 2013.
Chelsea
walimaliza alama nane mbele kileleni msimu uliopita na kutwaa taji
pamoja na Kombe la Ligi lakini mwaka huu wameanza vibaya, wakishindwa
mechi tisa kati ya 16 lkwenye ligi kufikia sasa.
mechi ya mwisho kwa Mourinho kwenye usukani ilikuwa Jumatatu walipochapwa na viongozi wa ligi Leicester City 2-1.
Pep Guardiola, Guus Hiddink, Brendan Rodgers na Juande Ramos na miongoni mwa wanaopigiwa upatu kumrithi.
-BBC
Related Posts:
MKWASA NA MATOLA WAPEWA MIKOBA,NOOIJ NA BENCHI LAKE ZIMA WATIMULIWA TAIFA STARS,
Mholanzi Mart Nooij alilazimika kusindikizwa na Polisi baada ya mchezo wa leo, ili kumuepusha na 'adhabu' ya mashabiki wenye hasira
Na Mahm… Read More
VIJANA WAHAMASIKA, ZOEZI LA UANDIKISHAJI BVR MKOANI KILIMANJARO
Pichani ni baadhi ya vijana waliojitokeza asubuhi hii katika kituo cha uandikishaji vitambukisho vya kupiga kura (BVR) katika kituo cha chuo cha V… Read More
HUYU NDIYO MTANGAZA NIA ANAEWANIA KUMNG'OA LEMA UBUNGE ARUSHA MJINI
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju akiongea na vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake ,ak… Read More
KILIMANJARO YAVUNJA REKODI YA UDHAMINI KWA MH. LOWASSA, 33,780 WAMDHAMINI
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro leo Juni 18, 2015, wakati s… Read More
CCM MKOA WA MARA WAJITOKEZA KUMDHAMINI WAZIRI MEMBE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani) akilakiwa na umati wa wanachama wa C… Read More
0 comments:
Post a Comment