Thursday 17 December 2015

SUAREZ APIGA HAT TICK BARCELONA IKIFUZU FAINALI,UBINGWA WA DUNIA


Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote matatu katika ushindi wa 3-0 mjini Yokohama, Japan kwenye mchezo wa Nusu Fainali Klabu Bingwa ya Dunia mchana wa leo dhidi ya Guangzhou Evergrande. 
 Suarez (right) scores the opening goal in the 39th minute as Barcelona edge ahead against Guangzhou Evergrande
Suarez alifunga dakika ya 39 akiuwahi mpira uliookolewa baada ya shuti la Ivan Rakitic, dakika ya 50 kwa shuti na dakika ya 67 kwa penalti na sasa Barca itakutana na River Plate ya Argentina katika fainali keshokutwa.
Suarez (right) nets from the penalty spot to seal his hat-trick at the International Stadium Yokohama on Thursday night
Suarez akifunga bao kwa njia ya mkwaju wa penati

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA