Monday, 7 December 2015

RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI KATIBU WA WIZARA YA UCHUKUZI

url
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Bw. Shabani Mwinjaka akiongea na wanahabari (Picha na Maktaba).
Rais Dk. John Pombe Magufuli leo ameendelea na oparesheni yake ya ‘Kutumbua Majipu’ baada ya kuvunja Bodi ya Bandari (TPA) na kutengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini Bw. Awadhi Masawe.
1
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Bw. Awadhi Massawe.
Pia rais amemfukuza kazi Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Dkt Shabani Mwinjaka na maofisa wengine nane wa Mamlaka ya Bandari na kuwagiza polisi wawakamate wote na kuwaweka chini ya ulinzi.
Massawe aliteulia na Waziri wa Uchukuzi Msitaafu, Samwel Sitta kushikila nafasi ya Mhandisi Madeni Kipande aliyesimamishwa kwa tuhuma za utendaji mbovu ili kupisha uchunguzi.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA