Thursday 17 December 2015

YANGA YAREJEA KILELENI LIGI KUU

Kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Yanga SC, Mkongo Mbuyu Twite (kulia) na Godfrey Mwashiuya (kushoto) baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika za lala salama jana katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji African Sports Uwanja wa Mkwakwani, Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akimtoka beki wa African Sports jana
Mshambuliaji wa Yanga SC, Simon Msuva akipambana na wachezaji wa African Sports
Beki wa African Sports, Rahim Juma akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma
Donald Ngoma wa Yanga SC akimiliki mpira mbele ya Rahim Juma wa African Sports
Thabani Kamusoko wa Yanga SC akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa African Sports.
-CREDIT BIN ZUBERY BLOG

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA