Sunday 7 February 2016

TASWIRA YA SHEREHE ZA MIAKA 39 YA KUZALIWA CCM


IMGS2886
Rais Dkt. John Magufuli akisalimiana na Katibu Mwenezi wa CCM,Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa CC, Abdulrahman Kinana (katikati baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida kuhudhuria sherehe za miaka 39 ya CCM Februari 6, 2016.
IMGS2901
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida kuhudhuria  sherehe za miaka 39 ya CCM Febbruari  6, 2016.
IMGS3157
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakya Kikwete na Rais John Magufuli wakiwa wamekalia moja kati ya madwati 1,000 yaliyotolewana CCM mkoa wa Singidaili yagawiwe kwa shule za mkoa huo ikiwa ni moja ya hatua za kutatua tatizo la madawati nchini. Walikuwa katika sherehe za miaka 39 ya CCM kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6,2016. Watatu kushoto ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu na kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majliwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMGS2965 copy
Rais Joh Magufuli akimpongeza Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kwa tiketi ya CHADEMA, Rachel Mashishanga ambaye alirejea CCM katika sherehe za Miaka 39 ya CCM kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6, 2016.
IMGS2977
Rais John Magufuli akimpongeza Mbunge wa zamani wa Viti Maalum CHADEMA , Cristawaja  Mtinda ambaye alitangaza kurejea CCM katika sherehe za miaka 39 ya CCM kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6, 2016.(P.T)
IMGS2983
Rais John Magufuli akimpongeza Mbunge wa zamani wa Viti Maalum CHADEMA , Cristawaja  Mtinda ambaye alitangaza kurejea CCM katika sherehe za miaka 39 ya CCM kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6, 2016.
IMGS2997
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza katika sherehe za miaka 39, ya CCM kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6, 2016.
IMGS3099
Mwenyekiti wa CCM, Rais  Mstaafu Jakya Kikwete akizungumza katika sherehe za miaka 39 ya CC kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6, 2016
IMGS3050
Rais Dkt. John Magufuli akizungumza katika sherehe za miaka 39 ya CCM kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6, 2016.
IMGS3045
Rais Dkt. John Magufuli akizungumza katika sherehe za miaka 39 ya CCM kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6, 2016.
IMGS3137
Baadhi ya wapenzi na wanachama wa CCM walioshiriki katika sherehe zamiaka 39 ya CCM kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6, 2016.
IMGS3127
Baadhi ya wapenzi na wanachama wa CCM walioshiriki katika sherehe zamiaka 39 ya CCM kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6, 2016.
IMGS3133
Baadhi ya wapenzi na wanachama wa CCM walioshiriki katika sherehe zamiaka 39 ya CCM kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida Februari 6, 2016.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA