ASKOFU MKUU WA CANTERBURY APOKEA KWA MSHANGAO MATOKEO YA KUMBAINI BABA YAKE HALISI
Askofu Mkuu wa Canterbury amesema matokeo ya vipimo vya DNA vilivyosaidia kubaini baba yake halisi vimemshangaza.
Askofu huyo Justin Welby, 60, wa Kanisa la Anglikana amebaini kuwa ni mtoto wa aliyekuwa Katibu wa Sir Winston Churchill aitwae Sir Anthony Montague Browne.
Awali Askofu Welby alikuwa anaamini kuwa ni mtoto wa muuza mvinyo Gavin Welby, ambaye alifariki dunia mwaka 1977.
Mama wa Askofu Welby, Lady Williams wa Elvel, amethibitisha kuwa alikuwa na mahusiano na Sir Anthony, kabla ya kuolewa mwaka 1955.

0 comments:
Post a Comment