Wednesday 6 April 2016

ICC YASEMA WILLIAM RUTO NA JOSHUA ARAP SANG HAWANA KESI YA KUJIBU


Naibu rais wa Kenya William Ruto na mtangazaji wa radio Joshua arap Sang wameachiwa huru na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) baada ya kuitupilia mbali kesi yao.

Majiji wa mahakama hiyo wameridhia kwa pamoja kuwa kesi dhidi ya Ruto na Sang ionndolewe, na kuongeza kuwa uamuzi huo hauna maana kuzuia kushtakiwa siku za baadae ICC ama mahakama ya Kenya.


Majaji Eboe-Osuji na Robert Fremr, kwa pamoja wameafiki kufutwa kwa mashtaka na washtakiwa kuachiwa huru, lakini wametoa sababu tofauti kwa maamuzi yao hayo waliyofikia.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA