Saturday 9 April 2016

RUBANI AGOMA KURUSHA NDEGE INDIA KUSHINIKIZA APEWE RUBANI MSAIDIZI MWANAMKE


Rubani mwanaume wa Shirika la Ndege la India ameripotiwa kugoma kurusha ndege hadi arudishiwe rubani mwenzake msaidizi ambaye ni mwanamke, jambo lililosababisha abiria 110 kukwama saa kadhaa.

Abiria wa ndege hiyo waliokuwa wakitokea Chennai kwenda Male kupitia Thiruvananthapuram nchini India walikwama kwa muda wa saa tatu, hadi pale shirika la ndege hiyo lilipomrejesha rubaini huyo msaidizi.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA