KOREA KASKAZINI YAZINDUA INJINI YA MAKOMBORA YANAYOFIKA MAREKANI
Korea Kaskazini imesema imefanikiwa kufanya majaribio injini iliyotengenezwa kuweza kurusha kobora la nyuklia katika umbali wa kukatiza mabara.
Shirika la habari la Korea la KNCA limesema injini hiyo inatoa uhakika wa uwezo wa kushambulia ardhi ya Marekani.
Majaribio ya injini hiyo ya kurusha makombora kwa masafa ya mbali zaidi yamefanyika karibu na eneo la Pwani ya Magharibi.

0 comments:
Post a Comment