Thursday 7 April 2016

WINNIE MANDELA AGONGA MWAMBA MADAI YA KUTAKA KUMILIKI NYUMBA YA MANDELA


Mtalaka wa Mzee Nelson Mandela, Winnie Mandela amejikuta akigonga mwamba mahakamani baada ya shauri lake alilofungua la madai ya kupewa umiliki wa nyumba ya Mandela iliyopo Kijiji cha Qunu, kutupiliwa mbali.

Kama hiyo haitoshi mahakama pia imemtaka Winnie Mandela alipe gharama za kesi hiyo, baada ya kushindwa katika kesi hiyo.

Marehemu Nelson Mandela ambaye alikuwa ni rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini mwaka 1994, ameacha wosia nyumba hiyo kuwa imilikiwe na familia yake.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA