Saturday 7 May 2016

HIVI NDIVYO MCHEZAJI PATRICK EKENG RAIA WA CAMEROON ALIVYOFARIKI BAADA YA KUANGUKA DIMBANI


Mchezaji wa Dinamo Bucharest, Patrick Ekeng, amefariki dunia baada ya kupatwa na shambulio la moyo na kuanguka uwanjani.

Ekeng ambaye pia ni kiungo wa timu ya taifa ya Cameroon alianguka uwanjani dakika ya 70 ya mchezo wa ligi ya Romania baina ya Dinamo na Viitorul.

Saa mbili baadaye ilielezwa kuwa Ekeng amefariki dunia hospitalini baada ya kukimbizwa kwa matibabu zaidi.

Shirikisho la Soko la Romania, limetangaza kusitisha michezo yote ya ligi ya nchi hiyo ya mwishoni mwa wiki hii.
                        Patrick Ekeng akiwa amelala chini baada ya kuanguka dimbani

CHINI NI VIDEO YA TUKIO HILO LA KUSIKITISHA


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA