Sunday 8 May 2016

LEICESTER CITY WAKABIDHIWA RASMI UBINGWA NA KUTOA ZAWADI YA 3 - 1 DHIDI YA EVERTON



Nahodha wa Leicester City, Wes Morgan (wa pili kulia) wakiwa wameinua taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya England na kocha Claudio Ranieri (katikati) baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Everton Uwanja wa King Power Jumamosi hii. 

Leicester City manager Ranieri lifts the trophy having led his side to an historic Premier League crown this season

Everton goalkeeper Robles can't hide his embarrassment as the striker wheels away to celebrate his second goal on Saturday
Mabao ya Leicester yamefungwa na  baada ya ushindi wa 3-1 Jamie Vardy mawili moja kwa penalti, huku pia akikosa penalti moja na lingine Andy King, wakati la Everton limefungwa na Kevin Mirallas.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA