Saturday 14 May 2016

MASHINDANO YA COPA UMISSETA YAZINDULIWA MKOANI KILIMANJARO

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick, azindua michezo ya COPA UMISSETA kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola, zifuatazo ni picha za tukio la uzinduzi huo.
COCA MOSHI 14
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick (kulia) akipokelewa na  Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Coca Cola, Bonite ya mjini Moshi, Christopher Loiruk alipowasili kuzindua michezo ya COPA UMISSETA kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika, mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola.
COCA MOSHI 22
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick akihutubia wananchi waliohudhuria uzinduzi wa mashindno hayo.
COCA MOSHI 11
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick akipiga mpira wa penati wakati akizindua michezo ya Shule za Sekondari( COPA UMISSETA)kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika, mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola.
COCA MOSHI 7
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick akikagua moja ya timu iliyoshiriki mashindano ya uzinduzi.
COCA MOSHI 1
Wanafunzi wakipokea vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Coca Cola.
COCA MOSHI 21
Afisa Masoko wa Kampuni ya  Coca Cola, Mariam Sezinga akiongea wa waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo.
COCA MOSHI 20
Wanafunzi wa Shule za Sekondari Reginald Mengi na Northern Highland wakichuana kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi wakati wa uzinduzi wa michezo ya Shule za Sekondari ya COPA UMISSETA kitaifa mkoa wa Kilimanjaro.Mashindano haya mwaka kuu yanadhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.
COCA MOSHI 23
Baadhi ya walimu wa shule za sekondari waliohudhuria uzinduzi huo wakipunga mkono wakati wa zoezi la utambulisho.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA